Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kikosi kizuri sana..angalao leo nitaangalia na castle light bariiidi pembeni. Lakini kwa kocha huyu doa halikosekani. ERICKSON inakuwaje anaanza??? . Last match Pelistri alifanya kazi nzuri sana tukapata lile goli. Tuombe Mungu kabla ya dakika ya 60 aingie.View attachment 2808209
Screenshot_2023-11-09-06-45-57-837_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Uwa mna pambania kuingia UEFA kubahatisha au hili li timu sio la europer wala conference.
 
tusiwatabirie kuanguka kwanza mpaka waanguke kwanza. Acha wapate false hopes. si unajua kina flano ndio wakwanza kutuita sisi false hopes fc ingawa wao wanachokifanya kinawafanya wastahili hilo jina zaidi yetu
Hapa hamna cha false hope, kwa timu hili tulilonalo sisi mashabiki kindakindaki wa Man Utd tunaombea tutolewe mapema, huko mbele kama tutafanikiwa kusonga na hawa kina Maguire basi tutaenda kutia aibu ya karne.
tapatalk_1914978024_359x450.jpg
 
tusiwatabirie kuanguka kwanza mpaka waanguke kwanza. Acha wapate false hopes. si unajua kina flano ndio wakwanza kutuita sisi false hopes fc ingawa wao wanachokifanya kinawafanya wastahili hilo jina zaidi yetu
Hatuwatabirii....its a fact mkuu....hii ndo mechi ambayo ilitakiwa wapate matokeo...hzo zilizobaki ni ndoto za mchana kupata points 6 hzo game...huo ubavu hawana kabisaaaa
 
Ninachoshukuru angalau nimepata namna ya kuacha kuangalia mechi za Manchester, mwaka mmoja nyuma haikuwa inawezekana kabisa hata niwe wapi lazima niangalie game hata msiba wa bibi nilitoka nikaenda kucheki game.

Leo aaah nalala zangu safii moyo wangu unatulia tulii sio kudunda dunda dakika 90. Kuacha kuishabikia siwezi ila nitaangalia matokeo tu basi.
 
Naanza kuamini kauli ya Flano kuhusu mashabiki wa Arsenal ,hiko alichotuma DullyJr ni aibu sana kwa mtu mzima kuhifadhi picha ya kinyaa namna hiyo.
Mnaweza kuwaignore watu wa hivyo, hamtaona maudhui yao humu. Watatuma ujinga wataona hawajibiwi watajirekebisha. Watoto wenye matatizo ya kimalezi wapo wengi humu mitandaoni.
 
Back
Top Bottom