johrobby
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,066
- 2,252
Varane ni mzigo mzito sana kwa sasa.Erik Ten Hag Vs Raphael Varane.
pambano bado linaendelea, hii mechi itaondoka na kichwa cha mtu.
code nyepesi hii
Tulikubaliana wagonjwa wa UEFA arsenal tutawaua kidogo kidogo, wewe umenyonga kabisa😅Unapata wapi ujasiri wa kumnanga bingwa mara 3 wa UEFA CHAMPIONS?
Nenda kapige umbea jukwaa la wenzako Totte na West ham.
Hapa ni jukwaa la Mabingwa wa UEFA tunashaurikana kibingwa zaidi.
Punguza hasira,ni utani na kukerana tu .....Mnaweza kuwaignore watu wa hivyo, hamtaona maudhui yao humu. Watatuma ujinga wataona hawajibiwi watajirekebisha. Watoto wenye matatizo ya kimalezi wapo wengi humu mitandaoni.
Mnacheza lini UEFA CHAMPIONS mkuu?Unapata wapi ujasiri wa kumnanga bingwa mara 3 wa UEFA CHAMPIONS?
Nenda kapige umbea jukwaa la wenzako Totte na West ham.
Hapa ni jukwaa la Mabingwa wa UEFA tunashaurikana kibingwa zaidi.
Nachelea kusema Chelsea irisharejea ilipotokaSasa nyie Arse8 mnashindana UEFA au mnasindikiza wanaume kama kawaida yenu.
Aser8 ni sawa na yule mbwa wako unayemuamini ni mkali sana mtaani, siku unampeleka josho kumuosha anakutana na mambwa ya polisi, anaanza kulia chini chini, kuingiza mkia matakoni na kuburuza miguu ya nyuma.
Hapa unafanya nini wewe?Sasa nyie Arse8 mnashindana UEFA au mnasindikiza wanaume kama kawaida yenu.
Aser8 ni sawa na yule mbwa wako unayemuamini ni mkali sana mtaani, siku unampeleka josho kumuosha anakutana na mambwa ya polisi, anaanza kulia chini chini, kuingiza mkia matakoni na kuburuza miguu ya nyuma.

hebu nenda ktk kilinge chenu cha kina LUTON huko

hata europa au comference huchezi unajipitisha kwa wanaume na khanga moja iliyolowa maji huku unatingisha wowowo nyambaaaaafKafanyaje huyo?Martin Zurbimend