Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi ni kwanini byndir bey hachezi?? Hata mechi ndogo zote anasugua benchi je onana akiumia anaanzaje na hajawahi kupata hata dakika 5 tu uwanjani.
 
Hivi ni kwanini byndir bey hachezi?? Hata mechi ndogo zote anasugua benchi je onana akiumia anaanzaje na hajawahi kupata hata dakika 5 tu uwanjani.
Ili kuanza kujaribu wachezaji wachanga inatakiwa timu iwe inaongoza labda goli 3 na mko dakika ya 80 hapo ndio unaweza kuwajaribu vijana wageni. Sisi hatujawahi hata kuongoza goli 2 bila dakika ya 80 kwa hiyo ni ngumu watoto hao kupata nafasi.
 
Back
Top Bottom