Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,039
- 33,679
GGMUGGMU
Ukiwa shabiki siku zote lzm uwe optimism.
Bado ETH ni kocha wetu lzm tumuunge mkono.
GGMUGGMU
Ukiwa shabiki siku zote lzm uwe optimism.
Bado ETH ni kocha wetu lzm tumuunge mkono.
Casemiro amrabat varane antony mount hao ni wa kuachana naoVarane aachwe aondoke January tulete center back
Ambrabat aridishwe alikotoka tutafute wachezaji wa kueleweka sio mchezaji anakuja kukaa bench
Mount na antony wachezaji wa sub
Man u wana goli 2Kunani, mbona mnaongea kiufupi na ukali!?
Wanachomoa hawa na si ajabu wakashindaRed card ya Rashford ndiyo inaweza kuharibu mchezo.
aisee!!Rashford fala sana