Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni bas tu hawa Copenhagen na wnyw ni tia tia maji tu lkn izi game 2 za man u walipaswa kuchukua 6 out 6 points tena bila shida kbs.

Man u hata Europa hafai kwenda maana ni takataka kbs.

Ukitaka ujue hii club iko kwny situation mbaya tambua kwmb kwny hili kundi man u ndo kibonde.. Iyo inatosha kukwambia kila unalotaka kujua khs hali ya hawa mashetani wekundu.
 
Flano na Allypipi waje watueleze nn kimetokea ndugu zetu...hii sio kawaida🤠🤠🤠
 
ila kundi lao wanaweza kumaliza wapili. Tungoje wamalize mechi zao zote
Kwhy hata wakimaliza wa 2 mkuu unahis wataenda wap?

Yan man u kama wana akil timamu hata wasiangaike kumaliza iyo wa 2 au hata 3 kwend Europa.

Maana iyo Michuano nakuambia hapa wakipita watakuja kukutana na kipigo cha mbwa koko round of 16 watapata aibu ya karne.
 
Flano na Allypipi waje watueleze nn kimetokea ndugu zetu...hii sio kawaida[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Mkuu hawa hata kuwacheka unapoteza mda wako tu.

Team ni takataka had mtu ukitaka kucheka unaanza kwnz kuona ww aibu.

Ww team karbia kila week wao wanapoteza tu imekua kama team ya wafanya comedy sasa.
 
Timu hamna kenge nyie mmejaza wapiga nyeto tu
20231030_184237.jpg
 
Kwhy hata wakimaliza wa 2 mkuu unahis wataenda wap?

Yan man u kama wana akil timamu hata wasiangaike kumaliza iyo wa 2 au hata 3 kwend Europa.

Maana iyo Michuano nakuambia hapa wakipita watakuja kukutana na kipigo cha mbwa koko round of 16 watapata aibu ya karne.
inaweza kuwapa momentum na usono wa hali ya juu, ukapelekea kushinda mechi nyingi za premier league na champions league wakaenda zaidi mpaka kushinda double ama treble
 
Kikosi kizuri sana..angalao leo nitaangalia na castle light bariiidi pembeni. Lakini kwa kocha huyu doa halikosekani. ERICKSON inakuwaje anaanza??? [emoji35][emoji35][emoji35]. Last match Pelistri alifanya kazi nzuri sana tukapata lile goli. Tuombe Mungu kabla ya dakika ya 60 aingie.View attachment 2808209
Screenshot_2023-11-09-06-45-57-837_com.mobilefootie.wc2010-edit.jpg
 
Back
Top Bottom