UCL 2007 pale OT Man United waliwakaribisha Ac Milan [emoji91][emoji91][emoji91] Gozi likipigwa sana dakika ya 5 Cristian Ronaldo yule wing harisi akatupia [emoji460] , mtu wa Imani kali Kaka akazawazisha [emoji460] kazi ikawa ngumu sana wanangu !! Kama haitoshi Kaka tena akaingia kambani shwaaaaa[emoji460] Milan akawa Mbele pale OT , Hapo Sir Ferguson akawambia wanangu pandeni mbele [emoji91][emoji91][emoji91] , hapo wafia timu wakabadili gear Daren Fletcher , Paul Scholes , Wayne Rooney , Michael Carrick Waka tawala sana pale kati 🫲[emoji2535] , si mda Wayne Rooney na jezi yake namba 8 akapigw kamba safi , kipa Dida akaokota mpira kambani [emoji460] 2:2 , dakika ya 90 fans wa Man United wamekata tamaa nusu robo final hiyo [emoji34][emoji34][emoji34] Dakika za nyingeza 3 Ryan Giggs yule kipepeo akakimbia na mpira kama swala , akapuga pass kwa Wayne Rooney akapuga chenga sadi mbele ya Nesta kamba ya [emoji460] Dida hana namna FT Man United 3 Milan 2 . Hii ndiyo Man United ya wafia timu , wakiwa na beki wa kawaida tu siku hiyo Wes Brown, Gabriel Heinze pale kati !
Sijui Leo itakuwaje?