Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,500
- 14,778
PIGAAAA MBUZIII NYINYI
Mmmmh idea nzuriKikosi kizuri sana..angalao leo nitaangalia na castle light bariiidi pembeni. Lakini kwa kocha huyu doa halikosekani. ERICKSON inakuwaje anaanza??? [emoji35][emoji35][emoji35]. Last match Pelistri alifanya kazi nzuri sana tukapata lile goli. Tuombe Mungu kabla ya dakika ya 60 aingie.View attachment 2808209