Eric ten hag ndiye atakayeleta Epl old trafford
Napongeza uongozi kwa kuwa wavumilivu
Manchester united inacheza vizuri sana ukiangalia mechi ya manchester united dhidi ya manchester united timu ilicheza vizuri sana
Mechi ya leo dhidi fulham timu imecheza vizuri sana very compact
Mechi ya Newcastle naamini kocha aliamua tutolewe kwenye mashindano ili kupunguza utitiri wa mechi
Bado naamini eric is the right man
Ila anahitaji director kwasababu kwenye usajili anakosea sana
Amrabat na fred ni wale wale tena bora fred ana pace
Tumpe muda kocha naona mwanga kwenye timu