Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,479
- 14,682
PIGAAAAAA HAOOOO
Offsideeeeeee
Hii ya mchongoOffsideeeeeee
Naona rashford nje leo![]()
Mkitak wauze team kwa mwarabu wakuu kubalini na leo mfungwe na msimu huu mnusulike kushuka daraja muwe hata wa 14 au 15 hapo lzm kitawaka.Pamoja na ubovu wa timu ila pia FA kwa makusudi kabisa ameamua kutuhujumu ili kushinikiza Vilaza wauze timu, offside ya mchongo Hio.
😃ni muda wenu sasa enjoyNgoma ndio kwanza mbichi
Hadi mseme
Sisi tushafufuka,the rest is history.
Labda muamuzi nae kabetia fulhamPamoja na ubovu wa timu ila pia FA kwa makusudi kabisa ameamua kutuhujumu ili kushinikiza Vilaza wauze timu, offside ya mchongo Hio.
Haya yote niliyaongea Sana last season,watu wakaniona haterGLAZERS FAMILY wanatoa pesa msajili 'WATU' ila nyie mnasajili akina 'KIKONGWE CASEMIRO' ambae kashajichokea vya kutosha
REAL MADRID sio wajinga, ukiwa mtu pale hutoki. Waliona wajingajinga wakuwala mamilion wapo, wakataka 73M nanyi mkatoa kununua mchezaji ambaye muda mwingi anatumikia either gerezani (RED CARD) au wodini (INJURY)
Haya sasa CASEMIRO OUT WIKI 7 ATAKUWA NJE
CASEMIRO kaumia na atakuwa nje hata kule Denmark mnangojewa kwa ham na vi'COPENHAGEN vitawagonga vibaya mno mpaka mtakoma na hivi mido enu ina mapeng
REAL MADRID waliona kabisa huyu kaisha tuuzie 'WANAOJICHANGANYAGA' sokoni ambao wapo radhi kutoa mamilion kununua magharasa akina MAGUIRE, LISANDRO MARTINEZ, MALACIA, MARTIAL, SANCHO, HOJLUND, ANTONY na mwisho wa siku kumlaumu mmiliki eti 'OUT'
Hivi kama GLAZERS FAMILY hawafai, ARSENAL wasemaje?
Maana ukiangalia ARSENAL bajeti yao ni ndogo sana tofauti na MANCHESTER UNITED lkn uwanjan ishakuwa ni kama maji na mafuta
MANCHESTER UNITED tabu iko palepale, mkikaza kwa FULHAM mnamaliza nguvu za kumzuia COPENHAGEN na kipigo cha kwenye UEFA kitawafanya mburuze mkia hahahahahaaaa
CASEMIRO, PARTEY, NKUNKU, JESUS ni bora uwe na akina MUDRYK, NKETIAH, ELANGA wanaotumia muda mwingi uwanjan na sio wodini
Ndugu NYUMBU, mnapigwa na FULHAM kisha mnaenda kugongwa na COPENHAGEN halafu mumlaumu GLAZER anayetoa mamilion ambayo mnanunulia vikongwe na majeruhi
Nyumbu nime kuja tena mbele yenu nme wauwa kwa stake kubwa sana ..msi niangushe mfsnye kama kama kawaida yenu




Huo ndio mpango uliopo sasa, kinachofata ni utekelezaji huku tukisaidiwa na FA management.Mkitak wauze team kwa mwarabu wakuu kubalini na leo mfungwe na msimu huu mnusulike kushuka daraja muwe hata wa 14 au 15 hapo lzm kitawaka.
Huo ndio mpango uliopo sasa, kinachofata ni utekelezaji huku tukisaidiwa na FA management.