Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni Nini Cha Kawaida Kati Yao? Walizungumza Ukweli kuhusu Manchester United na walikosolewa...

Louis van Gaal: "Man Utd ni klabu ya kibiashara, tofauti kabisa na Bayern. Kwa Bayern soka ni kitu muhimu zaidi, si pesa, kama ilivyo United."

Louis van Gaal : "Katika Bayern, watu wanaosimamia soka ni wanaume. Nilifurahia hilo kila mara. Kwa upande mwingine, huko Manchester United, ed Woodward alitawazwa kama mkurugenzi mkuu - mtu asiyeelewa kabisa soka ambaye hapo awali alikuwa benki ya uwekezaji. ."

Alexis Sanchez : "Baada ya kikao cha kwanza nilirudi nyumbani - nilimwambia wakala wangu 'huwezi kuvunja mkataba ili kurejea arsenal?' Wakati mwingine kuna mambo ambayo hutambui mpk najiuliza nilifika vipi man utd, na nakumbuka kipindi cha kwanza cha mafunzo nilichokuwa nacho, niligundua mambo mengi."

Zlatan ibrahimovic : "Kila mtu anaifikiria Man utd kama klabu ya juu, mojawapo ya matajiri na yenye nguvu zaidi duniani na nikionekana kutoka nje ilionekana hivyo kwangu. Lakini mara nilipokuwa huko nilipata mawazo madogo, yaliyofungwa. "

Jose Mourinho : "Mojawapo ya kazi nzuri zaidi ya maisha yangu ilikuwa kumaliza rasmi nafasi ya pili nikiwa na man united katika ligi kuu. Ninaendelea kusema hivi kwa sababu watu hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia."

Cristiano Ronaldo : "Manchester Utd haikupiga hatua. Real Madrid na Juventus zilifuata teknolojia ya hivi majuzi, miundombinu. Kila mara walijaribu kusonga mbele hata katika masuala ya mazoezi, lishe na jinsi ya kupata nafuu kutokana na michezo. Man United iko nyuma ya klabu kama hizo."

Cristiano Ronaldo : "Naitakia klabu bora, mashabiki wanastahili ukweli. Una mambo ndani ya klabu ambayo hayasaidii Man Utd kufikia kiwango cha juu kama Man City, Liverpool na hata sasa Arsenal."

MAWAZO? View attachment 2802875
 
Umeongea ukweli mtupu

Grazzer Wana makosa Yao ,ila huyu kocha wenu kimbinu Ni mweupe Sana

Kuna watu wanasema mbona mwaka Jana alifanya vzr ,mm nakataa huwa nasema Kuna factors zilimbeba last season na anguko lake nililiona mbelen

Tabia yakuwa outplayed na timu ndogo haijaanza mwaka huu Ni toka last season,Ni vile mashabiki wamejaa mihemko timu ikishinda hawaangalii imeshindaje .

Rejea mechi vs Arsenal pale OT ,mnashinda 3-1 , as Arsenal fan nilifurahia timu yangu japo ilifungwa ila nilishangaa Sana man u kushinda kwa mpira ule ,

Kuna a lot of matches,vs Leicester man u anashinda Lakini kwa Hali ngumu Sana .

Kocha unapewa timu Kama man u ,miaka hii bado unataka ucheze kaunta attack football, Tena ukimtegemea Rashford maana ndio anafiti hiyo falsafa
tunapo zungumzia matatizo ya glazer hata kocha akiwa ni mbovu lazima lawama tuwatumie wao tu

tunaongea ivyo maana wao ndo wanatuamulia ni nani awe kocha wetu ina maana kama kocha wetu yupo chini ya kiwango bado wao ni wakulaumiwa tu
wataletaje kocha mwenye uwezo mdogo kwenye timu kubwa kama Manchester?

glazer kwenye kuwalaumu hatuwezi kuacha maana wao ndo wanatuletea makocha wanaamua nani awe kocha wetu

ina maana wao waliona Eric 10 hag anatosha kama hatoshi basi wao wanakwepaje lawama hawakumpima uwezo wake kuwa anastahili kupewa timu kubwa kama Manchester.

Kwaiyo kama watakuwa hawana uwezo wakutuletea makocha wenye uwezo na wao ndo maboss wetu ndo maana tunapiga kelele hawatoshi

#glazer OUT
 
Leo tunaenda kuangalia balobalo Boys ama tuachane nao kwa muda 😃😃😃
 
Sijajua kwa nini ETH anampenda Erickson na Dalot....Bissaka karudi mwenye namba yake kuliko kumuweka Dalot nje anaona bora Reguilon akae benchi ili Dalot wake acheze namba 3.

Erickson ni mzee hawa huwa wanaingia dakika ya 75.

Kocha mjinga sana huyu.
Screenshot_20231104_145506_All%20Goals.jpg
 
Back
Top Bottom