Bado tu una Iman na 7hag?mwanzo pabaya, mwisho kuzuri.
Trust the process
Kwa yanayo endelea hata mimi ningekuwa Sancho nisingeomba msamaha aiseeUkiangalia upande mwingine Sancho yuko sahihi tu yani kocha anapata wapi nguvu ya kumpanga rashford kila mechi halafu kila siku kumsema mtu mmoja.

wewe ni mtu mzuri maana umeshawaonyaTafuteni Kocha, kipa, na right winger wa kueleweka. Msije na ETH ANFIELD tusiraumiane kabisa.
Nina mengi Sana kuhusu timu yangu hii daahMashabiki ni wanafki sana na nimegundua fans wengi wa man united hawajui tatizo ni nini mbona Liverpool, arsenal hizi team Zipo chini ya wa marekani na mbona hazina tatizo km man united Sawa grazzers hawajui mambo ya mpira kwani Kuna lazima mmiliki akajua mambo ya mpira
Miaka yote wanatoa pesa kama ten Hag Ana kisingizio gani
Casemiro + malacia +antony+ mount+ baydir + martinez + hojlund +onana + amrabat na regulon
Hawa wote uki jumuisha Me spend inafika £400 millions
Hakuna kocha alie spend pesa nyingi kuliko huyu yoyote alie wahi pita miaka ya karibuni na
Hapa kosa la grazzers ni lipi Hawa wote ame wataka mwenyewe kocha kaletewa na bado hawezi kuwatumia na ukiangalia Hawa wote hawaendani na falsafa yake ya mpira ukitoa onana na lisandro walio bakia wote sio wa total football why a spend pesa nyingi kwa wachezaji ambao hawaendani na mbinu zake
Tatizo ni huyu huyu kocha ni avarage kocha
Pale Ajax alikua Ana fanyiwa kila kitu na van de Sar huku akapewa mamlaka ambayo makocha wote walio pita hawajapewa ame sikilizwa km sir Alex anacho taka anafanya
Kinacho fanyika uwanjani ni kipi kocha Ana jeuri kiburi hashauriki yeye kila kukicha mizozo na wachezaji
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Nasimama na ole Gunner na Mourinho tatizo la United ni kubwa sana kuliko tunavyozani...Mashabiki ni wanafki sana na nimegundua fans wengi wa man united hawajui tatizo ni nini mbona Liverpool, arsenal hizi team Zipo chini ya wa marekani na mbona hazina tatizo km man united Sawa grazzers hawajui mambo ya mpira kwani Kuna lazima mmiliki akajua mambo ya mpira
Miaka yote wanatoa pesa kama ten Hag Ana kisingizio gani
Casemiro + malacia +antony+ mount+ baydir + martinez + hojlund +onana + amrabat na regulon
Hawa wote uki jumuisha Me spend inafika £400 millions
Hakuna kocha alie spend pesa nyingi kuliko huyu yoyote alie wahi pita miaka ya karibuni na
Hapa kosa la grazzers ni lipi Hawa wote ame wataka mwenyewe kocha kaletewa na bado hawezi kuwatumia na ukiangalia Hawa wote hawaendani na falsafa yake ya mpira ukitoa onana na lisandro walio bakia wote sio wa total football why a spend pesa nyingi kwa wachezaji ambao hawaendani na mbinu zake
Tatizo ni huyu huyu kocha ni avarage kocha
Pale Ajax alikua Ana fanyiwa kila kitu na van de Sar huku akapewa mamlaka ambayo makocha wote walio pita hawajapewa ame sikilizwa km sir Alex anacho taka anafanya
Kinacho fanyika uwanjani ni kipi kocha Ana jeuri kiburi hashauriki yeye kila kukicha mizozo na wachezaji
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Mashabiki ni wanafki sana na nimegundua fans wengi wa man united hawajui tatizo ni nini mbona Liverpool, arsenal hizi team Zipo chini ya wa marekani na mbona hazina tatizo km man united Sawa grazzers hawajui mambo ya mpira kwani Kuna lazima mmiliki akajua mambo ya mpira
Miaka yote wanatoa pesa kama ten Hag Ana kisingizio gani
Casemiro + malacia +antony+ mount+ baydir + martinez + hojlund +onana + amrabat na regulon
Hawa wote uki jumuisha Me spend inafika £400 millions
Hakuna kocha alie spend pesa nyingi kuliko huyu yoyote alie wahi pita miaka ya karibuni na
Hapa kosa la grazzers ni lipi Hawa wote ame wataka mwenyewe kocha kaletewa na bado hawezi kuwatumia na ukiangalia Hawa wote hawaendani na falsafa yake ya mpira ukitoa onana na lisandro walio bakia wote sio wa total football why a spend pesa nyingi kwa wachezaji ambao hawaendani na mbinu zake
Tatizo ni huyu huyu kocha ni avarage kocha
Pale Ajax alikua Ana fanyiwa kila kitu na van de Sar huku akapewa mamlaka ambayo makocha wote walio pita hawajapewa ame sikilizwa km sir Alex anacho taka anafanya
Kinacho fanyika uwanjani ni kipi kocha Ana jeuri kiburi hashauriki yeye kila kukicha mizozo na wachezaji
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Shida sio wachezaji shida ni mfumo kutokana na watu ulionao,lini umemuona kocha anachezesha mfumo mwingine zaidi ya 4-2-3-1 hapa ndio shida iliopo,huu mfumo unataka watu kukimbia muda mwingi hao watu utd hakuna,kwa leaking ya magori alitakiwa kufanya switch to either 3-5-2 or 4-5-1 ili kufanya watu wasikimbie sn otherwise kwa mfumo wake apandishe madogo wa u23/21/18 wamsaidie bilahivyo watamuondoshaMartial
Antiny
Dalot
Hawastahili kuanza hata ihefu cha ajabu wanaanza man united