trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 764
- 1,414
Mashabiki ni wanafki sana na nimegundua fans wengi wa man united hawajui tatizo ni nini mbona Liverpool, arsenal hizi team Zipo chini ya wa marekani na mbona hazina tatizo km man united Sawa grazzers hawajui mambo ya mpira kwani Kuna lazima mmiliki akajua mambo ya mpira
Miaka yote wanatoa pesa kama ten Hag Ana kisingizio gani
Casemiro + malacia +antony+ mount+ baydir + martinez + hojlund +onana + amrabat na regulon
Hawa wote uki jumuisha Me spend inafika £400 millions
Hakuna kocha alie spend pesa nyingi kuliko huyu yoyote alie wahi pita miaka ya karibuni na
Hapa kosa la grazzers ni lipi Hawa wote ame wataka mwenyewe kocha kaletewa na bado hawezi kuwatumia na ukiangalia Hawa wote hawaendani na falsafa yake ya mpira ukitoa onana na lisandro walio bakia wote sio wa total football why a spend pesa nyingi kwa wachezaji ambao hawaendani na mbinu zake
Tatizo ni huyu huyu kocha ni avarage kocha
Pale Ajax alikua Ana fanyiwa kila kitu na van de Sar huku akapewa mamlaka ambayo makocha wote walio pita hawajapewa ame sikilizwa km sir Alex anacho taka anafanya
Kinacho fanyika uwanjani ni kipi kocha Ana jeuri kiburi hashauriki yeye kila kukicha mizozo na wachezaji
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hizo timu ulizozitaja kazifatilie mifumo Yao ya uongozi afu fatilia na Manchester United nadhani utapata jibu lako au kamsikilize bwana Edu wa arsenal ka interview kake ka majuzi apo
