Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,248
- 4,671
[emoji599][emoji2424]| 𝗚𝗮𝗿𝘆 𝗡𝗲𝘃𝗶𝗹𝗹𝗲:
[emoji2788]"Erik ten Hag ni meneja mzuri sana, tunajua hilo, hatuwezi kupinga hilo. José Mourinho ni meneja mzuri, hatuwezi kupinga hilo. Tunachopaswa kujiuliza ni sababu ya kuendelea kushindwa katika klabu hii. Sio kwa sababu ya mchezaji mmoja au uwezo wake. Ni kushindwa kwa kitamaduni, na ndivyo hivyo."
[emoji2788]"Tumeona mameneja wakubwa na wachezaji wa soka wakija kwenye klabu hii na kufa mbele ya macho yetu."
[emoji2788]"Kwa kweli ninaamini kuna sumu kwenye klabu hii, inakula kila meneja anayekuja na kila mchezaji anayekuja."
[emoji2788]"Harry Maguire alitakiwa kwenda Manchester City, Mason Mount alitakiwa kwenda Liverpool. Watazame sasa, wako makaburini."