76er
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 210
- 482
Kocha siwezi mtetea sanaHuna timu bado hasa kocha huna
Endeleeni kudanganyana
Ila hata arteta ikitokea kapata Injury za
Saliba
Gabriel
White na
Zincheko
Arsenal nayo itakua kituko,, hili ndo jambo linatutesa united sahizi. Back 4 yetu yote iko garage, kwa hali hii epl utateseka sana lazima.

ndo uongee kwa sauti kubwa
