Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haters wapi tokeni mafichoniiiiiii
Mkuu huna hata aibu kusema ayo.

Team ya trip shamba trip Gereji hii me ningekua ww mkuu ili jukwaa msimu huu ingekua ndo bas tena niendelee na shughuli zngne tu za kujenga taifa .

Scott ndo anaonekana mfia team anamuonea kipara huruma asitimulie mapema
 
Skieni hii game tunachomoa tunashinda au sare sisi kama ma nyumbu kazi ndogo sana hio wakina rashidi wakiacha uchoyo

Yani wakina selemani wachomoe kule alafu sisi tushindwe no no no
Nilisema tulieni mechi tunashinda hii
 
Scott Lionel McTominay Messi
IMG_8149.png
 
Back
Top Bottom