Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipara atakaporudi breaks
  1. Mount na bruno wagombanie namba 10. nimelikumbuka pambano la higuain dhidi ya benzema nyakati za mourinho.
  2. Casemiro apumzike.
  3. Fair play kati ya garnacho na rashford.
  4. Fair play kati ya antony na amad baada ya kutoka majeruhi.
  5. Kobbie, gore na hata hannibal wagombanie nafasi. Mpira haupimwi tena kwa hoja ya umri bali uwezo ndio maana lamine yamal anacheza kule barcelona.
  6. Nimemshuhudia fabregas akicheza arsenal akiwa na miaka 16 miaka 18. iliopita. Hoja ya umri ni muflisi
  7. Amad. Shaw, malacia, reguilon, wan bissaka....back from injuries
No more excuse tena kiparaa.
Rotation ndiye muokozi wake dhidi ya injuries

  • Mechi yetu dhidi ya liverpool naomba inipitikie, kama namuona kipara akipanga kikosi cha mazoea. Wale mbwa watatutoa roho hiyo siku.
  • Kabla kipara hajaondoka, atumalizie filamu yetu ya ukatili aliokwisha anza nayo.
  • Nachungulia juventus, huyu Locatelli hastahili kucheza juventus, kibibi kizee atupe sisi huyu bwana then wao tuwape casemiro, varane na eriksen.

Mnaonaje
 
Huyo ni Asenyau mwenzio, mtu kila sehemu anakufata na kukuprovoke kwa makusudi wewe badala ya kumignore maisha yaendelee unaingia kwenye mfumo na kuanza kutoa mineno michafu mwenzio ndio furaha yake.
Masingeli pamoja na utani wako kuhusu United lakini mashabiki tunakukubali na kukuheshimu ila ukishaanza kuingia kwenye mfumo wa matusi kila mtu ataanza kukudharau.
Kuna watu ni wa kuwapuuza tu ili maisha yaendelee, ukianza kujibizana na kila mwehu na wewe pia utaonekana ni mwehu.
Leo Nilikuwa na stress Sana mkuu ,Kuna majanga yalinipata ,kuja Jf nifurahi jamaa ananifata na kunitukana tu

Itabidi hii dhambi nikatubu kabisa
 
Waliokuwa wanasemwa hawafai Leo wameokoa kibarua Cha Kocha

Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini eti MacTominay na Maguire Ni hawafai

Ni structure mbovu tu ya kocha
 
Mkiwa hamuna kazi ya kufanya angalieni mechi zinazoihusu leicester city inayofundishwa na enzo maresca.
1696697760171.png
 
Mchambuzi mropokaji tu
Rejea mechi ya Brentford vs Man U tunagongwa goli nne msimu jana nani alichoma ayo magoli yote na wewe ulisemaje iyo siku
Taratibu aisee usiniropokee

Mimi Maguire huwa nawatania tu but ni CB anayetumika vibaya

Kama Maguire mnamuona tatizo , au Degea mlimuona Ni tatizo kubwa Basi Onana Ni tatizo zaidi
 
[emoji15] “#MUFC were absolutely useless.”

[emoji102] “They were doing a lap of honour like they’d just won the Champions League!”

[emoji837] “They should be apologising to the fans. They know it’s papering the cracks.”

Gabby Agbonlahor tips on to Man United for their performance v Brentford
 
Kipara atakaporudi breaks
  1. Mount na bruno wagombanie namba 10. nimelikumbuka pambano la higuain dhidi ya benzema nyakati za mourinho.
  2. Casemiro apumzike.
  3. Fair play kati ya garnacho na rashford.
  4. Fair play kati ya antony na amad baada ya kutoka majeruhi.
  5. Kobbie, gore na hata hannibal wagombanie nafasi. Mpira haupimwi tena kwa hoja ya umri bali uwezo ndio maana lamine yamal anacheza kule barcelona.
  6. Nimemshuhudia fabregas akicheza arsenal akiwa na miaka 16 miaka 18. iliopita. Hoja ya umri ni muflisi
  7. Amad. Shaw, malacia, reguilon, wan bissaka....back from injuries
No more excuse tena kiparaa.
Rotation ndiye muokozi wake dhidi ya injuries

  • Mechi yetu dhidi ya liverpool naomba inipitikie, kama namuona kipara akipanga kikosi cha mazoea. Wale mbwa watatutoa roho hiyo siku.
  • Kabla kipara hajaondoka, atumalizie filamu yetu ya ukatili aliokwisha anza nayo.
  • Nachungulia juventus, huyu Locatelli hastahili kucheza juventus, kibibi kizee atupe sisi huyu bwana then wao tuwape casemiro, varane na eriksen.

Mnaonaje
Cha kwanza kabisa amsajili Luis Ocampos
Denzen Dumfries, David Raum, Antonio Silva , Florina Writz na Jacob Ramsey

Amuondoshe Rafael Varane, Jadon Sancho, Eriksen, Diogo Dalot, Tyrel Malacia na Facundo (Pellistri on loan), Antony Martial

Hapo hata wakimfukuza angalau tutakuwa umeshaanza safari ya kurudi juu.
 
MWAMBA HUYU HAPA

[emoji1593]Man United walikuwa hatarini kupoteza mechi ya 3 mfululizo ya EPL kabla ya Scott McTominay kuingilia kati hii kesi na kumfanya ETH kushangilia kama ametwaa taji la UCL

[emoji1593]Kiukweli haya mapumziko ya mechi za kimataifa ETH inabidi ayatumie kutafakari sana kuhusu

1: Staili ya uchezaji ya Man United

2: Utambulisho wa timu ... wanajaribu kufanya nini ?

3: Utengenezaji wa nafasi bora za kufunga za mara kwa mara ... unamuangalia Hojlund halafu unafikiria chances kwake ziko wapi

4: Wachezaji wajiangalie sana kwenye kioo kama wanafanya vya kutosha ... makosa mengi sana tena ambayo yanajirudia mno .

5: McTominay ameziba tu ufa tu leo lakini bado kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili Man United wawe na msimu bora

[emoji1593]Thomas na Frank na Brentford yake , kama mchezaji wako bora anakuwa / wanakuwa mabeki basi kuna shida mahala na sio leo tu bali mechi kadhaa za msimu huu kama sio mabeki wake basi viungo mara chache wamekuwa ( Mbuemo na Wissa )

Leo Kristoffer Ajer , Pinnock ( hasa huyu mwamba ) na Collins walifanya kazi nzuri sana pale walipohitajika

1: Tackling
2: Defensive headers
3: Blocks
4: Kutumia miili yao kukabiliana na wachezaji wa United Physically .

AMBANGILE
 
Back
Top Bottom