D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Unamuangalia frimpong kule bayer leverkusen?Cha kwanza kabisa amsajili Luis Ocampos
Denzen Dumfries, David Raum, Antonio Silva , Florina Writz na Jacob Ramsey
Unamuangalia frimpong kule bayer leverkusen?Cha kwanza kabisa amsajili Luis Ocampos
Denzen Dumfries, David Raum, Antonio Silva , Florina Writz na Jacob Ramsey
Namuangalia vizuri ila kwangu mimi naopt kwenda na Dumfries over Frimpong amekuwa tested Ajax na Inter na final ya UCL alideliver vizuri.Unamuangalia frimpong kule bayer leverkusen?
Timu yetu inakuwa mbaya anapokosekana Bisaka na inakuwa mbaya zaidi akikosekana Anthony huu ndio ukweli japo wengi humu wanamchukia Anthony kwa kufuata mkumbo.
Acha wafu wazikane.Nawakaribisha nyumbu wote kwenye hafla yetu ya kesho.. Tuungane kwa pamoja kuwacheka nyumbu wenzenu, tutokomeze huu utawala wa kipara ngoto.. Kiukweli amekuja kuiua ligi yetu!
Au mnasemaje nyumbugila?[emoji3]View attachment 2774761
Wewe jamaa hukuwaga hivi mzee wa Liverpool halisiNyie wapumbavu jana mmeshinda tena kwa bahati.
Nyie ni wapumbavu tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tafuteni kipa wa kueleweka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii combinenga ya Maguire na McTominey inaenda kua tishio Epl na ulaya yote kwa ujumla. View attachment 2775115
Kwa hio Masingeli umeamua kabisa kuwadhalilisha mashabiki wa Arsenyo kwa kuifananisha timu yao na Utamu wa Kardashiani?Mashabiki wa manjesta karibuni muone leo tunavyompiga Kaka yenu
Karibuni muone mpira mzuri
Hakika Ni Raha Sana kuiangalia Arsenal ikicheza
Ni zaidi ya kulala usiku mmoja na Kim Kardashian