Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Kazi ipo kocha wetu ni muoga tu Hana lolotee mtu kama rashford sio wa kucheza kabisa ila anamuogopa, mtu kila mechi anacheza vibaya bado anauhakika wa kuanza.
Hata Onana ni mda apumzike kwanza hayupo sawa ila jamaa muoga sana kukuweka benchi hata carabao
Hata Onana ni mda apumzike kwanza hayupo sawa ila jamaa muoga sana kukuweka benchi hata carabao

Yashakua hayo tena!