hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Namuheshimu Sana mkuu ,ukweli hamna kochaTunacheza vibaya sana, situation mfano wa hii itakuwa ni mara ya 100 kuishuhudia.
Mara nyingi huondoka na kichwa cha kocha mkuu.
Huyu hata akipewa ile Barca ya 2012 bado itacheza ujanjaujanja
Leo combination ya Casemiro na Amrabati bado mna dominatiwa Midfield