toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,422
- 2,798
Dah jamaa ana maisha magumu saanaBasi kafungwa Onana lawama zote zitaenda kwa Maguire dah!![]()
Dah jamaa ana maisha magumu saanaBasi kafungwa Onana lawama zote zitaenda kwa Maguire dah!![]()
Ni mchezaji wa kawaida ,wewe mchezaji ana miaka 27 kaonekana world cup mechi 3 , unampapalikiaAmrabat sio mkabaji, ni msindikizaji.. Mara mia Casemiro huchukua maamuzi magumu ya kula umeme!![]()
Mkuu jamaa wanamuona fergie ndani yake.pliz watie moyoNasikitika Sana maana 7hag anaenda kuliwa kichwa
Napenda abaki awapeleke nafasi za 12-15 huko
Huyu kocha nilimkataa toka mwaka Jana ,ule ushindi wa papatupapatu nilikuwa najua Ni wa muda mfupi tu ila kiuwezo hamfikii hata Ole gunar sosha
Basi ni hatari hiiWana kipengele cha kumnunua kwa lazima. Walifanya hivyo kwa sababu ya ishu ya FFP.
Wanae sana huyo kipara!![]()
Onana alianza kupewa hype hata hajacheza mechi mojaJambo la kushukuru Mungu amrabat amekuja kwa mkopo
Omama hakuna kipa mule
Kwa kikosi kilichoanza leo ni wachezaji wawili au watatu wanaofaa kuvaa uzi wa hadhi ya man unitedKazi ipo kocha wetu ni muoga tu Hana lolotee mtu kama rashford sio wa kucheza kabisa ila anamuogopa, mtu kila mechi anacheza vibaya bado anauhakika wa kuanza.
Hata Onana ni mda apumzike kwanza hayupo sawa ila jamaa muoga sana kukuweka benchi hata carabao
Subiri wewe utoe hata draw uone Kama wapo na wewe
Wabadilishe na fitness Coach pia hii siyo timu ya kucheza EPL wanafitness ndogo sana.Tunacheza vibaya sana, situation mfano wa hii itakuwa ni mara ya 100 kuishuhudia.
Mara nyingi huondoka na kichwa cha kocha mkuu.
Mwamba hajawahi kucheza walau game tano mfululizo bila injuryHeeYashakua hayo tena!
![]()
Basi kwa hili tusi, dhambi yake itawatafuna sanaOnana alianza kupewa hype hata hajacheza mechi moja
Wakawa wanasema kabisa Pale Arsenal , Ramsdale anakaa benchi kwa Onana
Ulimkataa wewe kama nani?Nasikitika Sana maana 7hag anaenda kuliwa kichwa
Napenda abaki awapeleke nafasi za 12-15 huko
Huyu kocha nilimkataa toka mwaka Jana ,ule ushindi wa papatupapatu nilikuwa najua Ni wa muda mfupi tu ila kiuwezo hamfikii hata Ole gunar sosha
Hahaa walikuwa wanahesabu miaka yetu 9 bila epl wakati ferguson anaondoka.what goes around comes around now wana miaka 11 tangu wachukue EPL.Subiri wewe utoe hata draw uone Kama wapo na wewe
Just draw tu
Huwajui nyumbu wewe
Kama shabiki tu mkuu,au kuna zaidi?Ulimkataa wewe kama nani?