Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,929
Majira ya baridi yashaanza barani Ulaya, naona mipira ya rangi ya njano imeanza kutumika EPL
Tumia hesgol ama kooralive
Africa ina mambo meusi sanaVurugu tupu.
Onana arudi cameroon, huenda wahuni wameshaichezea confidence yake
Mwanetu confidence inazidi kushuka siku baada ya sikuMwanetu Onana kama kawa golini
Hizi goli ni nyepesi sana anazoruhusu.Africa ina mambo meusi sana
Goli gani sasa? kama anapangusa mpira kwa chini na mpira upo slow kabisa.😅😅Hii hali si kawaida.
Confidence imepotea
Mkuu kwa maneno nipe tatizo la man yuu na mengine mawili weka suluhisho.Mwanetu confidence inazidi kushuka siku baada ya siku
Pakua yaccine tv, nilikuwa nikitumia zamani kidogo, iko bomba saana.App gan nzuri ya live mkuu ,,,,niko vijjn huku hakuna bar kubwa wala kibanda umiza ,,,,,
Msimu uliopita amecheza mechi 12 za Uefa akiwa na clean sheet 8Onana hamna kipa wakuu.