Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,530
- 61,929
Saa hizi ni muda wa kucheki game kakaMkuu kwa maneno nipe tatizo la man yuu na mengine mawili weka suluhisho.
Saa hizi ni muda wa kucheki game kakaMkuu kwa maneno nipe tatizo la man yuu na mengine mawili weka suluhisho.
Huyu aje hata arsenal ampe changamoto saka..Sancho watching the U18s today!
View attachment 2774484
Nahisi anakamia mechi yaani hayupo comfortable ila huko nyuma alikuwa kipa mzuri tu.Sielewi jamaa anapitia hali gani
Anapendelea kucheza namba 11 kuliko namba 7Huyu aje hata arsenal ampe changamoto saka..
Hata 7 namuona anafanya vizuri, hata Dortmund nilikuwa namuona anafanya vizuri pia akitokea kulia.Anapendelea kucheza namba 11 kuliko namba 7
Varane ni liability kwa Man UnitedVarane is out with a minor issue for Manchester United
Rashford uingereza unambeba ila dogo anazingua sanaRashford kafanya uchoyo wa wazi pale kama kawaida yake.
😂Hawa Nyumbu wanatamani Howard Webb arudi kwenye kazi yake ya Urefaree 😂😂
Hee 😃 Yashakua hayo tena!😂😂😂Varane ni liability kwa Man United