













Nyie msimu huu mpaka muite maji MMAKesho ndio tunaanza ligi.
United is back
sisi hatuna shida, wewe ndio unateseka na ETH.Nyie msimu huu mpaka muite maji MMA
Mna kocha ambaye level zake Ni kufundisha timu ndogo
Wewe siulisema nafas ya 2 yenusisi hatuna shida, wewe ndio unateseka na ETH.
Relax bro
hakika dunia ilikuwa na hamu kubwa sana kuwaona mabingwa Mara 13 na vijana wa bwanyenye glazer barobaro boys kugawa burudani kabambe leo.


11.00 jioni
Old Trafford

City : Elite at keeping the ball, defending and attacking
Liverpool : Elite at attacking and putting the ball in the back of the net
datamb.football/teamsKila siku mnaanza LigiAaaahhakika dunia ilikuwa na hamu kubwa sana kuwaona mabingwa Mara 13 na vijana wa bwanyenye glazer barobaro boys kugawa burudani kabambe leo.
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 3 vs Brentford 1
11.00 jioni
Old Trafford
Manchester United tunayoijua ndo inaanza ligi leo sasa
Haters wote muanze kujificha kuanzia sasa mama mtakosa Cha kuongea
Aaaaaah itakuwa ni raha tupu wakubwa
View attachment 2774168