Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 20230924_172144.jpg
    20230924_172144.jpg
    41.3 KB · Views: 4
MNADANGANYIKA NA HAKO KAGOLI KAMOJA WAKATI BURNLEY HAS BEEN THE BEST TEAM SO FAR

NAWASHANGAA MNAOJIPA MOYO CHINI YA KIPARA NGOTO TEN HAG.

MSISINGIZIE INJURIES
MSINGIZIE GLAZERS

TANGIA MECHI YA KWANZA. TUNACHEZA KAMA HATUJUI NINI TUNAFANYA.

NO IDENTITY, NO STRUCTURE, NO SYSTEM.

#TENHAGOUT
Jasusi lipo job
 
Hapo ndipo ninapowadharaugi makocha aisee ningekuwa kocha wa man u Rashford siwenzi muanzisha yaani angekuwa anatokea bench aje kubahatisha bahati yake.
Lilikuwa ni swala la kumtoa kipindi cha pili hata ile dakika ya 46 asiianze yani mtu anakimbiza mwizi akiona wametokea wananchi kusaidia anaanza kutembea, yani dogo anajiona kamaliza kabisa yani Daah.
 
#𝐁𝐫𝐮𝐧𝐨❽
#𝐖𝐚𝐥𝐥𝐩𝐚𝐩𝐞𝐫

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230925_112436_699.jpg
 
Huyu Rashford ndio anafanya United tudhani tuna mchezaji wa daraja la juu eneo lile matokeo yake waalimu hawapewi watu sahihi wakijua yeye anatosha.

Kusema kweli tunahitaji kusafisha timu yetu pakubwa na nitamuheshimu mwalimu atakayemuweka Rashford benchi awe squad player tu.
 
Back
Top Bottom