gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,942
- 6,139
Ifike mahala mchambuzi Nguli niheshimiwe
[emoji599]nilianisha toka mwaka Jana manjesta kwa huu mpira wa janjajanja una mwisho wake
Nikaweka mfano wa Conte pale Spurs alisajili na akawa na timu nzuri tu akatembea na mpira wa ujanjaujanja akaingia had top 4 , tukasema mpira wa ujanjaujanja huwa hauna maisha marefu,msimu uliofata wachambuzi uchwara wakasema atagombea EPL , kufika October akatupa taulo
[emoji599]7hag katembea na mpira wa ujanjaujanja kachukua had Carabao
Wachambuzi uchwara wale wale wakasema msimu huu atagombea EPL na UCL, Lakini wachambuzi nguli tulionya mapema ,mpira wa ujanjaujanja haunaga maisha marefu
Ole gunar anasema alichokosa man u ilikuwa kombe tu lakin alikuwa anajenga timu ya kuja kushindana mataji kwa muda mrefu ila kuja kwa Ronaldo na kusalitiwa kulimfanya afukuzwe
Huyu 7hag anataka kutembea na ngekewa ya Carabao energy drink cup
Kwasasa mpira wa ujanjaujanja hauna nafasi ,
Wahafidhina wa soka wanasema huenda x mass akala kwao uholanzi .
hamis77 hii manjesta tuongee na Stan Kreonke ainunue tuiunganishe na Arsenal women kuongeza title push kwa dada zetu.