Kwa staili hii hutaweza kuokota point kwa kina Fulham ,wolves convincinglyAt the end individual quality ita decided the fate
3 points its all we need to focus on
1-0 ggmun![]()
Swali la msingi Sana hiliSwali mtaishi kwenye kivuli hicho Hadi lini?
Football Ni structure,sio kutegemea janja janja

We acha tupambane na janja janja zetu there is no way outSwali mtaishi kwenye kivuli hicho Hadi lini?
Football Ni structure,sio kutegemea janja janja
Sio kwa kocha huyu ,hata apewe miaka 5 hawez kufundisha morden footballWe acha tupambane na janja janja zetu there is no way out
Maji tushayavulia nguo ni kuoga na kusaka 3 points hata kwakisu hata kocha aingie na formation 8-2-1
Sisi tutaka only 3 points its what's decides our standing fate
If you cant run ....walk...if you cant walk... crawl...
Mpaka tutafika progress & success needs time and commitments
Wewe unajua mpira ,Ole ndiye alirudisha DNA ya man u ,sema mwishon alisalitiwaKati ya makocha wote ukitoa jose..ole alikuwa na nafuu kidogo ... kulikuwa na moyo wa upambanaji angalau.
Kwa sisi tunaojia badge ya manchester united angalau kuanzia mwaka 99 , tunasikitika sana kwa hali hii tunayoiona hapa, tumerudi nyuma ki ubora kwa 75%.
Yaani timu ina uwezo wa 25% tu ya uhalisia wa timu ya mfano 2010.
Hili nalo ni Grazzer family?Being outplayed by Burnley??
Wachezaji wetu hawawezi kupiga penetration pass pale kati kwahiyo huku pembeni wakibanwa hawana namna ni kurudi nyuma tu, wanapiga pass 30 kwenye half yao wakiingia ya mpinzani pass 3 tumepoteza.Back pass nyingi sana.
Kuna watu wanaukimbilia upumbavuKumdomineti Burney nayo inamuhitaji Grazzer?