Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Nadhani mkuu anamaanisha mihela ya wenzetu.
Nimemwela chifu...mi nilikuwa naongezea chumvi tu kwenye utani...
Nadhani mkuu anamaanisha mihela ya wenzetu.
Moyes atakuwa anaimba wimbo wa Biggie kimoyomoyo, Fergie Fergie gimme one more chance, fergie fergie gimme one more chance LOL.
Nimemwela chifu...mi nilikuwa naongezea chumvi tu kwenye utani...
Haters bana wanafurahisha sana
Msimu ujao lazima tucheze Champions League... kivipi? nitakuambia baadaye