huyu dominguez wa olimpaikos ni mchezaji mzuri sana,kuna viungo wazuri wa bei rahisi tunaweza kununua lakini sijui hatuwaonagi!huyu siajabu analipwa just buku 7 tu kwa wiki huko ugiriki!
moyes hajui maamuzi sahihi!welbeck anafanya nini mpaka muda huu?
Buku 7? Acha bana, buku 7, si hata mimi naweza kumsajili kwenye timu yetu ya mtaani...tena nitaongeza marudufu hadi buku 50...