rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Tunamshukuru sana Wenger,i hope atatuuzia na Ramsey mwaka 2016
Ramsey aliwatolea nje. Mmesahau? Dogo atamaliza career yake as Gunners na May atanyanyua Kombe...
Tunamshukuru sana Wenger,i hope atatuuzia na Ramsey mwaka 2016
Mkuu najua tunajipa tu matumaini, but I think 1/4 will be our Omega, sidhani kama tutaendelea zaidi ya hapo.:sad:
Ramsey aliwatolea nje. Mmesahau? Dogo atamaliza career yake as Gunners na May atanyanyua Kombe...
Ramsey aliwatolea nje. Mmesahau? Dogo atamaliza career yake as Gunners na May atanyanyua Kombe...
Hahaha hukawii kukimbia. Subirini CR7 aje kuwagonga 4 ndani ya OT.
jhahaha and thats y it is called theatre of dreams.,..... Nzi Belo mfarisayo Mndengereko @Belindajacob et al....
nawatakia Ushindi leo,....
sio kwamba nawapenda sana, la hasha...ni kwakuwa hawa #Chelsea
hususan kina King'asti tangu jana wana NgebeNaMasanga meeeengi kisa eti ni team pekee ya Uingereza
wamevuka Champions League....
Wazibeni Mdomo kidogo, halafu #UmburuKenge wenu tuendelee kuubeza mtapokutana na Bayern Munich/Barcelona au Real Madrid....
Wishing You The Best, (Leo tu!)
kwa kweli and tahts my sadness kidogo amegundua kosa lake leo.but still we want him outJidanganyeni, hamtalibeba..... Moyes ameongezewa muda tu leo.
Magoli 2 ya set pieces, goli 1 la open play, nyota wa mechi David De Gea! Tafakari
and there will be only one manchesterThere is only one United
hizo set pieces zimekuja zenyewe au zimetafutwa??? lliverpoll walivyopata penalyt tatu hamjasema man u kupata moja mnalonga longa kweli haters mna kazi.Magoli 2 ya set pieces, goli 1 la open play, nyota wa mechi David De Gea! Tafakari
kama tumeweza kupita nyuma basi mbele hapatatusumbua.Mpo pale palee sijui mtapita wapiii huko mbele!!
hii inaitwa bora punda afe lakini mzigo ufikechecking out the boys!
boxing match?
![]()
Kombe gani mkuu?