Kuna mtu alishawai kusema Kuwa DDG alikuwa stopper wa matitizo aliyoyatengeneza mwenyewe yanayotokana na press kutoka kwa wapinzani wakiwa na mpira...... kama jana ile mipira inayolud kwa kipa ingekuwa inapigwa hovyo na kukuta kiungo ya Bayern tungekufa nyingi kutokana na style yao ya ushambuliajiDDG ni moja ya Best Shot Stopper Ever EPL, Best kwenye Positioning anaeza kuwa Petr Cech na Best in Commanding their Area nadhani Schmeichel na Seamen.
Madrid ilipata Pigo la Thibaut lakini Haikumwangalia DDG, Bayern haikuwa na kipa na Sommer aliondoka lakini haikuangaika na DDG Ikaenda Israel jiokotea.
DDG, UTD Mpka Bonus anakula ~400k Kwa wiki. Waarabu na Kuokota kwao wamempita kama hawamwoni na amekuwa Free Agent kitambo tu. Magoli anafungwa Onana, DDG kakaribishwa nayo Community Shield na Dzeko na anayo Mengi sana ya aina Hiyo tena Hatua Muhimu Zaidi Wembley, Kapigwa na Mount F.A juzi tu tena F.A kapigwa na Gundo. Hii haialalishi Makosa ya Onana lakini namna inawekwa kama DDG Haijawahi mtokea. Goalie wako akiwa "Player of the Season" kuna Shida kubwa
Msimu Jana Newcastle wanasema Game Plan yao ilikuwa ni Kum-Press DDG Aggressively ili apige Long Ball sababu footwork sio nzuri na wao Physicality walikuwa vyema kuliko UTD so Second Balls nyingi wali-win. Kipindi hiki timu nyingi zimegundua Onana ni Press Resistant njia Pekee imekuwa ya kuiadhibu UTD ni kupitia FB's na kufanya Transition ya watu wengi kukimbilia kwenye Box zile "Late Run" na ndo mana Goli nyingi zinafanana. Solution Ipo kwa wiki zinazokuja.
Nyakati zinabadilika lazima tukubali DDG alikuwa sehemu ya Tatizo na namna Bora ni kila mtu kuchukua njia yake. Sancho naye anabidi afanye zaidi uwanjani kuliko kwenye mitandao ya Kijamii.Kuna mtu alishawai kusema Kuwa DDG alikuwa stopper wa matitizo aliyoyatengeneza mwenyewe yanayotokana na press kutoka kwa wapinzani wakiwa na mpira kama jana ile mipira inayolud kwa kipa ingekuwa inapigwa hovyo na kukuta kiungo ya Bayern tungekufa nyingi kutokana na style yao ya ushambuliaji
I hope you mean ERAErrors comes to end
😀😀😀 no, he means errors. He's lampooning 7hag's 'Eras come to an end".I hope you mean ERA
Huna akili kenge wewe jadili timu yakoOnana kwa €55m
Je aingie kwenye list ya Sajili za kitapeli au tumpe muda ?
Shots 12 , Goals 9


| Andre Onana entered the dressing room after his requested interview and apologised to Erik ten Hag, the coaching staff and his teammates.























| Luke Shaw may not be back before the international break in November. Aaron Wan-Bissaka could experience a similar period of unavailability. 













And according hamis77 these two brothers in the coming days might play on the same team under Erick 7hagBrothers of Rasmus Hojlund, Emil and Oscar Winther Hojlund, play for Copenhagen, meaning the siblings might play against each other in the Champions League.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2757537
Unampangia mchambuzi nguli Cha kusema?
@Flano na Genge lako Soma hapoErik ten Hag’s son is employed at the SEG agency who did the most business at Old Trafford this summer. SEG brought in Rasmus Højlund and Sofyan Amrabat, and were involved in talks over selling Harry Maguire.
#MattHughes
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2757534
Hivi nyie NYUMBU mlipata wapi ujasiri wa kuachana na De gea na kwenda kuchukua Pazia la mashineni ONYOKO?



