Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ifike mahala mchambuzi Nguli niheshimiwe

nilianisha toka mwaka Jana manjesta kwa huu mpira wa janjajanja una mwisho wake

Nikaweka mfano wa Conte pale Spurs alisajili na akawa na timu nzuri tu akatembea na mpira wa ujanjaujanja akaingia had top 4 , tukasema mpira wa ujanjaujanja huwa hauna maisha marefu,msimu uliofata wachambuzi uchwara wakasema atagombea EPL , kufika October akatupa taulo

7hag katembea na mpira wa ujanjaujanja kachukua had Carabao

Wachambuzi uchwara wale wale wakasema msimu huu atagombea EPL na UCL, Lakini wachambuzi nguli tulionya mapema ,mpira wa ujanjaujanja haunaga maisha marefu

Ole gunar anasema alichokosa man u ilikuwa kombe tu lakin alikuwa anajenga timu ya kuja kushindana mataji kwa muda mrefu ila kuja kwa Ronaldo na kusalitiwa kulimfanya afukuzwe

Huyu 7hag anataka kutembea na ngekewa ya Carabao energy drink cup

Kwasasa mpira wa ujanjaujanja hauna nafasi ,

Wahafidhina wa soka wanasema huenda x mass akala kwao uholanzi .
 
hamis77 hii manjesta tuongee na Stan Kreonke ainunue tuiunganishe na Arsenal women kuongeza title push kwa dada zetu.
 
KUMEKUCHA

Wachezaji kadhaa wa Manchester United wameanza kuchoshwa na ukosoaji wa Erik ten Hag.

Vyanzo vya chumba cha kubadilishia nguo vimesema kuwa baadhi ya wachezaji wanaamini kuwa Ten Hag ana watu anaowapenda kwenye kikosi ambao hayuko tayari kuwachambua, huku wanahisi kuwa wengine Ni Kama mbuzi wa kafara tu.

[@samuelluckhurst]
 
Watu wengi wanamlaum Sana kipa lakini hata ukiangalia hata kiungo chetu kimechoka Sana na beki yetu yani tumefungwa goal nyingi Sana za style hii moja.
1695364707414.jpg
 
Ninaposema 7hag Ni jipu niwe naeleweka

Kutoka ndani ya gazeti la Manchester Evening News

Baadhi ya wachezaji wa United wanahisi wamewekwa katika nafasi mbaya ya kutekeleza maagizo ya mbinu za Ten Hag kwani kuna hisia kwenye kikosi kwamba mbinu zake zimevurugika kwa kutokuwepo kwa Antony

[@samuelluckhurst]
 
Msianze huko mkataka kumfukuza kipara wa watu..

Mnataka akale wapi na ndo kwanza kafungua kampuni juzi tu! Familia yake yote inafanya kazi humo..

Katoka uholanzi hana kitu, hebu muacheni ale maokoto kwa Maguire anavyokula nyam nyam!😅
 
Ninaposema 7hag Ni jipu niwe naeleweka

Kutoka ndani ya gazeti la Manchester Evening News

Baadhi ya wachezaji wa United wanahisi wamewekwa katika nafasi mbaya ya kutekeleza maagizo ya mbinu za Ten Hag kwani kuna hisia kwenye kikosi kwamba mbinu zake zimevurugika kwa kutokuwepo kwa Antony

[@samuelluckhurst]
Hawa wachezaji miaka yote ndio shida pale Man U. Mkuu umefatilia hata interview ya Ole kidogo na alichosema kwa baadhi ya wachezaji japo hajataja majina?
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba Familia ya Glazer hairidhishwi na mwenendo wa klabu yao kufuatia vipigo back to back

Na mechi ambazo zitaamua hatima yake ni hizi
20230922_141723.jpg
 
Amrabat is fit enough for the squad v Burnley this weekend. Mount still about a week away. Mainoo at least two weeks away.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230922_144010_525.jpg
 
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230922_144259_700.jpg
 
#mufc's centre backs performance visualised

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230922_144314_960.jpg
 
Even the ref is far ahead of McTominay

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230922_144339_067.jpg
 
A number of Manchester United players are starting to grow weary of Erik ten Hag's criticism. Dressing room sources have said that some players believe Ten Hag has favourites in the squad who he is unprepared to single out for criticism, while they feel others are routinely rounded on by him.

[Samuel Luckhurst]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230922_144403_457.jpg
 
| It had been hoped Tyrell Malacia would be back at the end of this month.

[VinnOConnor]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Back
Top Bottom