Kumfunga convincingly wolves , Grazzer family wanahusika vipiHii timu bila kuuzwa asee tutaoigwa kama ngoma .
Tatizo ni kocha au nini Mzee wanguKuuzwa sio suluhisho kuu. THE BLUES imeuzwa kwa bank ya Marekani, inamwaga lundo la pesa kwenye usajili still uwanjani wachezaji wanaruka majoka.
Waambie kuuzwa sio suluhisho Kama kocha kiazi hata timu iuzwe kwa Elon MuskKuuzwa sio suluhisho kuu. THE BLUES imeuzwa kwa bank ya Marekani, inamwaga lundo la pesa kwenye usajili still uwanjani wachezaji wanaruka majoka.
Hili tatizo na mm nimeliona, yan nashindwa kuelewa kwanini hamkemei Rashford na ule ubinafsi wake?Kitu nmeshindwa kuelewa ni kwamba kocha kashindwa kulimaliza tatizo la ubinafsi kwenye safu yetu ya ushambuliaji??




Amefanyeje?Wan bissaka tayari uko
Miezi miwili nje. Injury.Amefanyeje?