Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawawezi kufanya pressing hata kwa first half tu
7Hag alivokua anakuja alitaka aje na Alessandro schoenmaker ambae alikua anafanya nae kazi kama head of performance and physical condition pale ajax Glazers wakakataa na kuamua kubaki na akina Charlie Owen & paul Gaudino ambao wapo kwenye timu toka enzi za nyerere yote hiyo ni ku avoid cost na matokeo yake ndio haya.
 
Inueni migongo hiyo
IMG-20230918-WA0012.jpg


Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
One of the three women to accuse Antony of violent behaviour has 𝗗𝗥𝗢𝗣𝗣𝗘𝗗 their case.



#MailSport
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2753788
20230917_171045.jpg
 
Casemiro: "The Champions League? It's one of the most beautiful competitions that exists in football. Every player dreams of playing there and winning it. It's always a great opportunity to be there. These are entertaining matches against the best teams."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230918_203406_927.jpg
 
Facundo Pellistri on The Champions League: "It's one of the best competitions in the world. #mufc deserve to be there and, as we are United, we have to give everything."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230919_000015_171.jpg
 
Facundo Pellistri: "The matches against Barcelona [in last season's Europa League] were extraordinary and we can't wait to play these kinds of matches in the Champions League. We are ready to play against everyone."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230919_000028_435.jpg
 
Facundo Pellistri: "The best [at entertaining] are Messi, Neymar, Ronaldo. I really enjoy watching them because they make things happen and make football what it is."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230919_000039_930.jpg
 
Gabriele Biancheri has penned his first professional contract with Manchester United 󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230919_002647_959.jpg
 
NILIWAHI KUSEMA HUMU 7HAG SAJILI ZAKE ZA EREVEDISE NA ZA KUTUMIA WAKALA WAKE ,

Daily Mail wanaripoti


Wasiwasi umeibuka ndani ya klabu kutokana na kuongezeka kwa ushiriki wa wakala wa Erik ten Hag Kees Vos katika shughuli za uhamisho wa klabu hiyo.

[@MattHughesDM]


TARATIBU MTAJIONEA ,GRAZZER FAMILY HAWAWEZI KUKUBALI WATUPIWE LAWAMA WAO TU,
 
NILIONGEA HAYA KIPINDI CHA NYUMA ,HATA USAJILI WA HOJLUND KWA €85m GRAZZER WAMETAPELIWA ,

Kuna mkono wa wakala wa Ten hag , Ni Kama Ten hag ameamua kufanya biashara ndani ya man utd ....LAWAMA wanapewa Grazzer Family yeye ametulia ,Grazzer family hawawezi kukubali mzigo wa LAWAMA


Daily Mail wanazidi kuripoti wanasema

Kampuni ya Sport Kees Vos imekuwa chombo muhimu katika mazungumzo ya usajili wa wachezaji na mauzo kwa #mufc , pamoja na kutoa ushauri usio rasmi kuhusu soko la uhamisho - Nigel mtoto wa Ten Hag pia anafanya kazi katika kampuni hiyo ya uwakala kama mchambuzi.

[@MattHughesDM]
 
Daily Mail wanazidi kufichua ,7hag it's like anafanya biashara ndani ya man utd akitumia kampuni za uwakala kununua na kuuza wachezaji

Thus why anapenda Sana wachezaji wa kiholanzi, au waliopita uholanzi sababu Ni rahisi kukuunganisha na kampuni zake za Siri za uwakala.


MattHughes mwandishi wa Daily Mail anafichua



SEG ilifanya kazi ya mauzo na usajili wa wachezaji wakati wa dirisha lenye shughuli nyingi ambalo liliifanya United kutumia pauni milioni 178 kununua wachezaji wapya wanne, huku Vos akiwa mgeni wa kawaida Old Trafford na uwanja wa mazoezi wa klabu ya Carrington. Kazi zao zilijumuisha:

Walimwakilisha Rasmus Hojlund wakati wa uhamisho wake wa £72m(€85m) kutoka Atalanta, huku mshambuliaji huyo wa Denmark akijiunga na kampuni hiyo mwezi mmoja kabla ya kusaini United.

Walikaimu katika mazungumzo ya kumsajili kwa mkopo Sofyan Amrabat kutoka Fiorentina katika makubaliano ambayo yanawapa fursa ya kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Morocco kabisa mwishoni mwa msimu.

Walihusika Kumuuza Zidane Iqbal kwa Utrecht mnamo Juni miezi miwili tu baada ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 kujiunga na wakala kutoka kwa wapinzani wa CAA Base.

[@MattHughesDM]-Tier 1
 
Grazzer family hawatakubali waonekane wao Ni wabaya totally

7hag kafungua kampuni za udalali ndani ya manjesta anamtaka mchezaji kumbe kashamuunganisha na kampuni zake ,mwisho Grazzer wanapigwa pesa ndefu

Sasa wameshtuka
 
ERIK 7HAG ANAFANYA UDALALI NDANI YA TIMU

| The agency owned by Ten Hag’s agent was involved in multiple #mufc signings this summer:

- Representing Rasmus Højlund during his move from Atalanta.

- Acting for United in negotiations over the loan signing of Sofyan Amrabat from Fiorentina.

- Selling United midfield player Zidane Iqbal to Utrecht in June just two months after the he had joined the agency.

Their growing influence has been noted by other agents unhappy at what they perceive as losing out on potential deals due to the link with Ten Hag.

[@MattHughesDM]
 
Kocha kaona awe tapeli ndani ya timu , ila Grazzer wanaonewa Sana

Naamini hata ile €100m ya Anthony masebene ,7hag ana %yake ,

7hag akitoka manjesta anaweza kugombea urais kabisa
Screenshot_20230919-010839_1.jpg
 
Back
Top Bottom