Passenger19
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 622
- 1,020
Naona kocha ameamua kupiga nyeto[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukisoma comments za Mashabiki humu moyo unajaa majonzi na kuhisi timu inashuka daraja, ila ukiingia kwenye jukwaa la Chelsea na kusoma comments za mashabiki wao unajikuta unatabasamu na kuhisi kama vile sisi tunaongoza ligi[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana ndugu zangu wa Chelkenge nimejaribu kuvaa viatu vyenu lakini hata vidole tu vimeshindwa kuingia.
View attachment 2752791