Kinachotokea uwanjani ni reflection ya kinacho endelea nyuma ya pazia, Glazers wame na wanazidi ku play part sana kwenye hii downfall ya utd. Kutoa pesa ya usajili pekee haitoshi kufanya timu iwe competitive, kuna vitu vingi vinahitajika ukitaka timu i perform na kupata matokeo, management na infrastructures ni miongoni wa factor zinazopelekea performance na consistency ya timu.Halafu Kuna mtu anawatupia lawama Grazzer family
The Manchester United recruitment team don’t think Sofyan Amrabat will succeed in England. He is an Erik ten Hag target.
[@Muppetiers]
7Hag alivokua anakuja alitaka aje na Alessandro schoenmaker ambae alikua anafanya nae kazi kama head of performance and physical condition pale ajax Glazers wakakataa na kuamua kubaki na akina Charlie Owen & paul Gaudino ambao wapo kwenye timu toka enzi za nyerere yote hiyo ni ku avoid cost na matokeo yake ndio haya.Aaron Wan-Bissaka out for up to two months after sustaining hamstring injury in final minutes after coming on against Brighton.
[Athletic]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2753789
Man United walikuwa wakistruggle na suala la fitness kwa misimu mitano sasa.7Hag alivokua anakuja alitaka aje na Alessandro schoenmaker ambae alikua anafanya nae kazi kama head of performance and physical condition pale ajax Glazers wakakataa na kuamua kubaki na akina Charlie Owen & paul Gaudino ambao wapo kwenye timu toka enzi za nyerere yote hiyo ni ku avoid cost na matokeo yake ndio haya.
7Hag alivokua anakuja alitaka aje na Alessandro schoenmaker ambae alikua anafanya nae kazi kama head of performance and physical condition pale ajax Glazers wakakataa na kuamua kubaki na akina Charlie Owen & paul Gaudino ambao wapo kwenye timu toka enzi za nyerere yote hiyo ni ku avoid cost na matokeo yake ndio haya.
One of the three women to accuse Antony of violent behaviour has 𝗗𝗥𝗢𝗣𝗣𝗘𝗗 their case.
#MailSport
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2753788
Jitahidi kuitendea haki hii lugha ya watu jamani

Casemiro: "The Champions League? It's one of the most beautiful competitions that exists in football. Every player dreams of playing there and winning it. It's always a great opportunity to be there. These are entertaining matches against the best teams."







Facundo Pellistri on The Champions League: "It's one of the best competitions in the world. #mufc deserve to be there and, as we are United, we have to give everything."






Akiitendea haki ndo mnatoboa kwa Bayern?

Facundo Pellistri: "The matches against Barcelona [in last season's Europa League] were extraordinary and we can't wait to play these kinds of matches in the Champions League. We are ready to play against everyone."







Facundo Pellistri: "The best [at entertaining] are Messi, Neymar, Ronaldo. I really enjoy watching them because they make things happen and make football what it is."






HahahahaAkiitendea haki ndo mnatoboa kwa Bayern?



Punguza roho mbaya
Wasiwasi umeibuka ndani ya klabu kutokana na kuongezeka kwa ushiriki wa wakala wa Erik ten Hag Kees Vos katika shughuli za uhamisho wa klabu hiyo. 






Walimwakilisha Rasmus Hojlund wakati wa uhamisho wake wa £72m(€85m) kutoka Atalanta, huku mshambuliaji huyo wa Denmark akijiunga na kampuni hiyo mwezi mmoja kabla ya kusaini United.
Walikaimu katika mazungumzo ya kumsajili kwa mkopo Sofyan Amrabat kutoka Fiorentina katika makubaliano ambayo yanawapa fursa ya kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Morocco kabisa mwishoni mwa msimu.
Walihusika Kumuuza Zidane Iqbal kwa Utrecht mnamo Juni miezi miwili tu baada ya kijana huyo mwenye umri wa miaka 20 kujiunga na wakala kutoka kwa wapinzani wa CAA Base.