Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,806
- 13,760
Bado yamelala, sijui kwa raha gani.Manyumbu.....mbwa nyie😂😂
Bado yamelala, sijui kwa raha gani.Manyumbu.....mbwa nyie😂😂
Hahahaha 🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa...
Hahahaha 🤣🤣🤣 9+1 Hug.Wakati Guardiola anawanao akina Robben, Ribbery na the likes of Philip Lahm , Eliki 7+3Hag alikuwa anafundisha timu ya under 10 ya Bayern 😆😆😆😆😆
We mpaka hapo haustuki tuuuu.
Huyo ni tapeli tu[emoji23][emoji23][emoji23]Carasco Putin ni shabiki kindakindaki wa Arsenyo, yeye mwenyewe hua anajiita kijukuu cha Wenger, mzee wa Teta ball burudani kwa wote. View attachment 2752116
Too late dirisha lishafungwaTafuteni kipa wa kueleweka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jana alianzisha uzi wa simba halafu wahuni wakawa wanamtafuta awape updates.
sijui alipotelea wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si tunae Osman bey?Too late dirisha lishafungwa
😅😅😅😅😅😂😂😂
Alikimbilia matopeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ndio mtapigika vibaya Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si tunae Osman bey?
Kama vipi Osman bey akae golini halafu Onana acheze MF asaidiane na Casemiro pale kati.
Galatasaray pia napewa taarifa ,Zaha anawasubiriBayern hao sasa sijui tutafanyajee maana ni vipigo mfululizo.
Huyu leo atafunga kama sio kuasisstDogo walimkondesha aisee 🙂🙂☺☺View attachment 2751758
Nyumbu hawana mechi ya kawaida kwa team ile bali wao ndo wakawaida kushinda hao hadi mwenzi wa 11Yule ndio mtapigika vibaya Sana
Kocha wenu baada ya baryen presha itakuwa juu, Kuna mech Kama 5 hivi ,za kawaida ,asipopata WWWW ,huyu mwez wa 11 hafiki
Kikosi cha kumpigia mnywa gongo bavariansOnana
lindelof maguire martinez
dalot amrabat casemiro reguilon
Bruno hojlund rashford