Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Yani eti Raya anakaa bench Arsenyani sisi huku tunateseka.Kiufupi timu inaungwa ungwa na super glue... Unaleta kipa la possession football kwenye squad ya counter attack football lazima wa mrambe maana kikawaida onana sio shot stopper mzuri hio hela ni tungeenda kwa maigan ya ac Milan au kwa diogo costa wa benfica
At that time kulikuwa na raya aliyetoka Brentford who was even more cheap [emoji174]