RVP amekuwa mzigo!!!!amebaki maneno tu anatakiwa akae nje. leo wacheze watu wa juhudi tu akina VALENCIA,WELBECK,YOUNG hawa wanajituma sana hata kama hawana talent kivile
Cha msingi kuvuka...kupata mpunga wa robo fainali...pia huwezi jua, tusije tukafanya alichofanya Chelskis na timu yake ya tia maji tia maji akachukua ndoo..