Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RVP amekuwa mzigo!!!!amebaki maneno tu anatakiwa akae nje. leo wacheze watu wa juhudi tu akina VALENCIA,WELBECK,YOUNG hawa wanajituma sana hata kama hawana talent kivile

SAF alikuwa anaweza kumpiga benchi mchezaji yeyote,Moyes anawaogopa na combination ya Mata,Rooney,RVP,Januzaj inafeli mmoja lazima aanze benchi
 
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
 
Enzi ya Sir Alex Ferguson ilikuwa vigumu penalty kupatikana uwanjani hapo lakini mechi ya hivi karibuni (Liverpool) tumeona penalties kibao, ama kweli mabadiliko hayo lazima wayakubali wapende wasipende.

hivi
1-mechi zidi ya Arsenal 8-2 ile penati uikumbuki,
2-mechi zidi ya Blackburn Rover 3-2 penati alisabisha Berbatov,
 
Enzi ya Sir Alex Ferguson ilikuwa vigumu penalty kupatikana uwanjani hapo lakini mechi ya hivi karibuni (Liverpool) tumeona penalties kibao, ama kweli mabadiliko hayo lazima wayakubali wapende wasipende.

man vs arsenal.jpg

Slip-up: United keeper Tomasz Kuszczak saves a penalty from Arsenal midfielder Gilberto Silva in September 2006. It was the last spot-kick Graham Poll awarded against the Red Devils at Old Trafford during his career
 
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez

good line up. giggs anacheza ili kuzima ile rumor waligombana na moyes???kweli kocha hatuna. anayumbishwa sana
 
leo lazima tuwapige hawa hili kombe ni letu.kwa kua kucheza mwakani uefa kupitia zile top four ni ngumu sisi tunapitia huku.tutaingia kama bingwa mtetezi.
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
 
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand, Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez
Mata nje? ??
 
leo lazima tuwapige hawa hili kombe ni letu.kwa kua kucheza mwakani uefa kupitia zile top four ni ngumu sisi tunapitia huku.tutaingia kama bingwa mtetezi.
Usikimbie Jukwaa mwisho wa game tu
 
ingawa hapa kwa Giggs kunaonekana kuna shida kidogo, itabidi moyes awe mwepesi kwenye sub. giggs akizembea kidogo amtoe faster aingie fellaini,sio anasubiri mpaka dakika ya 82.
haka katim hakajawahi kuifunga man u katika ardhi ya england toka kazaliwe. yaani mara zote 11 kamekuja england hakajawahi kushinda.
 
Kumbe kuwa na jakamoyo ndivyo kulivyo hivi....sijui ntazoea....
 
ingawa hapa kwa Giggs kunaonekana kuna shida kidogo, itabidi moyes awe mwepesi kwenye sub. giggs akizembea kidogo amtoe faster aingie fellaini,sio anasubiri mpaka dakika ya 82.
haka katim hakajawahi kuifunga man u katika ardhi ya england toka kazaliwe. yaani mara zote 11 kamekuja england hakajawahi kudroo

Mungu alimuumba Moyes ili aje kufanya maajabu,chini ya Moyes miujiza inatendeka. Vipofu wanaona,viziwi wanasikia,vilema wanatembea na mabubu wanaongea.
Kama usipovunja rekodi chini ya moyes,basi wewe utakuwa na ugonjwa sugu usiotibika.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Starting XI: De Gea; Rafael, Jones, Ferdinand , Evra; Valencia, Carrick, Giggs, Welbeck; Rooney, van Persie.

Subs: Lindegaard, Fellaini, Fletcher, Januzaj, Kagawa, Young, Hernandez

Afadhali!

Lazima Mkae...!

Hapa ndo huwa namkubali Moyes..!

Huwa hataki kabisa kuniangusha!
 
naona rafu za hapa na pale ndo zitatawala kwenye hii mechi; A. Valencia inabidi apumzike ameisha kuwa majeruhi tayari.
 
Back
Top Bottom