Ukitaka kujua level ya timu yako angalia Odds tu...
United bado sana inajitafuta zaidi ya Counter hakuna mipango mingine.
Japo Jana Arsenal hatukuwa kwenye ule ubora wetu.
One of the positive comment mtu ambae akuwa blinded na 3-1 mark kwa alie check game hawez kuongea pumba kuhusu kiwango cha jana to both teams
Ukweli ni kwamba man u mmecheza vizuri kuliko arsenal hasa kipindi Cha kwanza
Man u wakiwa na mpira kwenye kushambulia mlikua hatari kuliko arsenal
Kuna muda man u mlikua mnacheza kiume, Arsenal walikuwa wanacheza kivulana
Yule hojlund ambae hamisi anamkataa ni mzuri na atawasaidia Sana Sana Sana
Rashford akiwa na consistency ni mchezaji mzuri
Onana anahitaji mabeki wakufanya nae zile one-two-one-two
Tafuteni mbadala wa Eriksen na casimiro mapema
Garnacho ni kinda mwenye potential kubwa Sana
Martial sio mchezaji wa kuvaa jez ya Manchester United ata watu wakibaki 11 dunia. Inabidi akose namba
Martinez bado hajapata partner wake pale nyuma, namaanisha varane, Maguire, lindeloaf, Evans sio wa kuwategemea
Bisaka ni mzuri lakini kwa ukumbwa wa man u, inabidi muingie sokoni
Kadri siku zinavyokwenda man u inapunguza ubora wa Bruno
Ulishawai fikiria Bruno akiichezea timu Kama man city?
Big u kwa dalot, amejua kutufichia star boy SAKA
All in all
Man u changamoto zenu ni ndogo kulinganisha Chelsea
Man u inahitaji muunganikano tu wa wachezaji, ubaya ni kuwa hao wachezaji ambao wengi wao ni tegemezi umri imeenda
mchezo ulikua mzuri, Hadi dakika ya 80 ypyote alikua anaweza kutapika points tatu, bahati ilikua upande wa arsenal. Yeah, that's a football
Kosa lilianzia hapa kwenda kwa mbele kosa kwenye center back watu wa mpira tulilona hiliKosa kubwa kumtoa Antony
Dakika za nyongeza si ni sehemu ya mchezo au....mngeshinda nyny kwny dakika za nyongeza ungeongea haya???....kwa timu zzte kubwa dakika 10 za mwsho ndo huwa crucial zaidi maana pale ndo akili huwa inakuwa inawaza vitu vingi....unajua nikishinda hapa nna uhakika wa kuondoka na points tatu....nikifungwa hapa kuna uwezekano wa kupoteza mchezo maana mda hauko upande wetu tena....tatizo la Man U ni Baba Ubaya....hajifunzi kutokana na makosa...Antony alisaidia sana jana defensively na kuficha mpira ilipobidi...unamtoa yy unamuacha rashidi makame....mechi ya pili hii anadundwa pale Emirates kwa sababu ya kumtoa AntonyKaka mtapewa reality check sio muda huu niwakati wenu kubadilika hamna mpira lethal mmekuwa wakutegemea 90+ minutes ndo mtafute ushindi plus ushindi
Refer to community shield vs man city mka draw na hii pia
Baada ya kupata mwanya udhaifu wa ma beki wa man utd ila kbla mashabiki walijua mchezo ushakuwa mgumu na wengine kutoka uwanjan underdog hakuwa underdog mlivodhania
Kwenye thread yenu bado watu wana criticize mchezo wa jana
Hususani baadhi ya wachezaji ambao wapo impact less kwenye squad yenu due to the experiment anzo force kocha wenu
Halafu mbona liver mpaka sasa. Amecheza kawaida sana . Usikariri hizi mechi 4 Totenham kacheza vizuri kuliko liverWewe ngoja nikiuache level yako ya kuujua mpira ipo chini sana sijui msako gani arsenal kaufanya jana akiwa nyumban kwake
Goli la pili kona baada ya captain wenu kubutua nje ya 18
Goli la tatu counter atack muda wote evans na maguire wanacheza bila pressure wale jana wangecheza na liverpool plus city ingekuwa shughuli wasingefika kule kwenye upendeleo wa refa
Hujakosea na ndio maana uki refer kule juu nilisema ni kosa kubwa sana kumtoa Antony huyu jamaa kama huna jicho la mpira huwez ona mchango wake kirahis rahisi utaishia kusema mech 30+ hana magoli wala assist nyingi ila laa sio hivo tu anamchango wake tofauti na kufunga tuDakika za nyongeza si ni sehemu ya mchezo au....mngeshinda nyny kwny dakika za nyongeza ungeongea haya???....kwa timu zzte kubwa dakika 10 za mwsho ndo huwa crucial zaidi maana pale ndo akili huwa inakuwa inawaza vitu vingi....unajua nikishinda hapa nna uhakika wa kuondoka na points tatu....nikifungwa hapa kuna uwezekano wa kupoteza mchezo maana mda hauko upande wetu tena....tatizo la Man U ni Baba Ubaya....hajifunzi kutokana na makosa...Antony alisaidia sana jana defensively na kuficha mpira ilipobidi...unamtoa yy unamuacha rashidi makame....mechi ya pili hii anadundwa pale Emirates kwa sababu ya kumtoa Antony
Kapaketi ka TATU BOMBA kaliisha jana vizuri kabisaUnafaham huna point kwa hiyo kushiriki hapa unapost tu kiuhalisia hukuna mabadiliko ambayo unategemea unaweza kujifunza
Halafu mbona liver mpaka sasa. Amecheza kawaida sana . Usikariri hizi mechi 4 Totenham kacheza vizuri kuliko liver
Kapaketi ka TATU BOMBA kaliisha jana vizuri kabisa
Mm sio arsenal ila kimpira tuongee kimpira, timu mbaka inafungwa inamaana Kuna makosa yametokea bila makosa watakuwa hawafunganiYani mashabiki wa arsenal hata aibu hawana kwa mpira ule matokeo ya 3-1 ushindi wa papatu papatu basi wana amini tutakimbia jukwaa dah
Yani mtu umeona kabisa sub zile zimekupa mwanya bila hivo chao wasingekuwa nacho jana
Fluke
Hizo mechi zipo.... huu si mpira ukikosea unafungwa ukidhinda haimaanishi ulicheza vizuri. Man si alimfunga Wolves lakini hakucheza kiwango cha kuridhisha . We unahisi game ya liver na New castle nani alipata chance za goli nyingi.Anacheza kawaida? Anampiga newcatle wakiwa pungufu nyumban kwake angalia mpira wa kiume na sexy football mkuu tofautisha hapo
Hizo mechi zipo.... huu si mpira ukikosea unafungwa ukidhinda haimaanishi ulicheza vizuri. Man si alimfunga Wolves lakini hakucheza kiwango cha kuridhisha . We unahisi game ya liver na New castle nani alipata chance za goli nyingi.
Ndio hamna aliekataa its always the best ndio atakae amua matokeo ila sio kama vile wanavotaka ku implement humu kwa kuwa blinded na hayo matokeoMm sio arsenal ila kimpira tuongee kimpira, timu mbaka inafungwa inamaana Kuna makosa yametokea bila makosa watakuwa hawafungani
Wanasema eti ilikuwa 50/50Dear man u,s nadhani jana mlijionea . Mlikuwa mnavizia counter attack sio. Na ilifika stage mpaka mkitaka kufunguka tu linawakuta jambo , kiungo ya kati ikawa imekufa kabisa. Nawaza sana sisi liva sijui tutawapiga kipigo gani tukikutana.