Mi ndio maana pale juu nimem - quote kuwa nimechagua kum - ignore tu. Utapoteza energy yako bure tu mkuuWe jamaa una utoto mwingi inawezekana bado upo kwenye foolish age
Natafuta alipo de geaGreenwood ametua Getafe
Kaenda kwa mkopo nimefurahia hii habari.Greenwood ametua Getafe
Hawawezi kuandika italeta matatizo na mashabiki. Getafe wamethibitisha.Mbona club haijaandika chochote
Kiufupi Liverpool mnakombe la Barclays moja tu lazima muwe na wivu tu acha na mataka taka yenu mengine hayo hata ayajulikani.Kwa kipi mshabiki wa Liver awaonee wivu utd kiufupi tumia akili yako vizuri
Mimi binafsi sijaona chochoteBaada ya uhamisho wake leo imeandika kitu?
Kimya mpaka sasa aende arabuniNatafuta alipo de gea
Nitafurahi timu nyengine ikimnunua moja kwa moja atemane na UTD kumejaa ufala paleKaenda kwa mkopo nimefurahia hii habari.
Akili nyingine bwana,Man U hii inaweza kuifunga Arsenal 4??hebu acha utani aiseeHizi Kima za Arteta jumapili zikipigwa chini ya goli 4 nitaamini kweli uchawi upo. View attachment 2736006
Hilo ni kombe au ngao?
Mnavyoandika JF sasa utafikiri mna Timu ya maaaana kweliMwendo wa debuts tu
Wao siwanapenda kukaa na mpira kuuficha...solution ni kufosi wafanye makosa mpira tukipata viberenge hadi kwa Ramsadle
Hamna muda wakumuonea mtu huruma uchochoro upo kwa zinny hapo
Hizi Kima za Arteta jumapili zikipigwa chini ya goli 4 nitaamini kweli uchawi upo. View attachment 2736006
Wewe kaa kwa kutuliaKuna mashabiki wa Arsenyani humu ni wa kupuuza. Shabiki anayekimbia jukwaa timu yake inapofanya vibaya ni walewale "plastic fans".
KONDOO FC mechi ya Jumapili presha ipo kwenu, sisi Duniani nzima inajua tulipo kwa sasa. Kuwapiga nyie wake zetu itakuwa ni kudumisha tu ndoa.
Arsenyani ataliwa magetoni kwake!!!
Jibu unaloHilo ni kombe au ngao?
Mnatokea kwa ku beepJamaa msimu ulioisha alikimbia jukwaa leo baada ya ndiyo ya Arsenal ndoo Haaland kiatu kuyeyuka ndipo wahuni wakavamia jukwaa lenu ,humu uzuri wake hakimbii mtu iwe jua au mvua.
Bado hamjasemaTen Hag ni fala sana badala ya kutumia £65m kwa Mount angemsajili Amrabat. Sasa ameshtuka double 8s inafanya timu inakuwa exposed tayari kumekucha.
Scouts wetu nao walivyo wapuuzi wachezaji kama N. Jackson hawawaoni tumeenda kupigwa £70m.
£47m yote imeenda kwa kipa wakati tulikuwa na De Gea, Henderson, Kovar. Wote hao hawafai kwa kipindi cha mpito, sasa kwa uchezaji wetu Onana hatatusaidia ipasavyo.