Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,025
- 33,663
Huyu mount alikuwa target ya Liverpool before hatujamchukua... Unataka kusema Klopp nae hana talent Id... Mpaka kuwa target kuna kitu kimeonekana kwake... Hata Kai si alikuwa anatakiwa na Bayern kuna kitu anacho.... Ni swala la Muda kocha ndo anayejua mkuuSasa hayo ni maneno yangu au ya Rio?
Halafu Kwan uongo mount hamjapigwa ?