hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Most of football fans wanasema kwa pira makande pira butua butua la a Dutch David Moyes Erik 7 Egg
Hawaioni manjesta ikitoboa makundi UCL
Zaidi ya fans 100,000+ wanasema kwa manjesta hii ,Baryen na Gala ndio watavuka
Cha ajabu watakuja wapuuzi fulan humu wataniandama Mimi
Mimi Ni mjumbe tu
Hawaioni manjesta ikitoboa makundi UCL
Zaidi ya fans 100,000+ wanasema kwa manjesta hii ,Baryen na Gala ndio watavuka
Cha ajabu watakuja wapuuzi fulan humu wataniandama Mimi
Mimi Ni mjumbe tu