Ana hali mbayaaaaManjesta na baryen atapigwa nje ndani kushoto kulia katikati pembeni
Pumbaff









DuhGroup A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Tukishindwa kuvuka hili kundi tushuke daraja tu...Group A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Hadi sasa hili kundi letu hatuvuki
Bayern anatupiga nje ndani,Galatasaray hata OT hatuwezi kumfunga now ni wa moto pia game ya ugenini mnaelewa vyema gundu la jiji la Istanbul tangu zamani hatutogaki salama tunachapwa.
Tukijikakamua ni point 6 za Copenhagen napo kwa mashaka
Group A:
Bayern
Man United
Copenhagen
Galatasaray
Zaha na Ziyech wanarudi England, nyumbu mjiandae hamna group jepesi kwenuu![]()
Nakusanya points 15-18We group lako unaliona jepesi ila Upo na timu technical zote izo au psv umemsahau
Mda utaongea
Maridhiano na mtu anayekaa kwa shemeji yake Dada ake akiachika naye anaachika,abadani!Nyumbu kwa umoja wenu kaeni kwenye meza ya maradhiano na Hamis77, Kama kunatofauti zozote mzimalize
Mtu mmoja kasimamisha jukwaa zima, na bado anapiga spana kisawasawa.

Kaeni nae chini, yanazungumzika. Kama Kuna tofauti myamalizeMaridhiano na mtu anayekaa kwa shemeji yake Dada ake akiachika naye anaachika,abadani!
Apige tu kelele zake mshika ukuta wa Buza![]()