El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
Na hoja yako unajifichia alimpa Nan debut na yupo XI
Nimekupa mifano ya Pep na Klopp hapo city na Liverpool
Narudia kwambia ukiona unatusi ujue hoja Zimekuishia. Career ya Klopp na Pep wana majina makubwa wametengeneza na mpaka leo yameishi kwenye mpira kwa maana hiyo hawana cha kuaminisha mtu kwamba wanaweza tengeneza Academy player kuwa World Star na ni wakati wanaanza Career zao za Ualimu! HUJANIPA JINA LOLOTE ARTETA KATENGENEZA toka ACADEMY msimu wa 5 Huu..
Punguza Kuwa emotional! Pepe kasajiliwa Msimu alochukua ARTETA timu 2019, sasa Huo U-FLOP ulikuwa wakati wa Mchakato wa Usajili ama?? Saliba naye alisajiliwa Msimu huo huo na alibaki St. Ettienne kwa Mkopo, Yule kaja sukwa na JORGE SAMPAOLI Kuwa Player unayemwona LeoSaliba kamkuta ana miaka 18 yupo mkopo Nice
Pepe kamkuta ameshakuwa flop
Kwa Hiyo kwa hoja ya Mwalimu lazima akamilishe Game 38 ndo aitwe mwalimu wa timu kwa msimu husika? Nilikupa Mfano Chelsea walimu walochukua UCL ni Di Matteo na TT na ndo inatambulika hivyo kama walimu wa hizo timu kwa Misimu husika.