hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Huenda mnaangalia matokeoTalent ndio nn maana unaongea hiki kitu muda sana? Au kuna namna ss hatuangalii mpira sawa na ww
Humu humu mechi ya kwanza tu nilisema Anthony masebene mmepigwa ,
Leo nani anabisha Anthony hamjampigwa?
Mech ya manjesta vs Arsenal pale OT ,7hag anashinda 3-1 nilisema 7hag kwa mpira huu Ni kocha tapeli anayesubiria miujiza na form ya Rashford kuokota point
Soon mtaimba humu 7hag out
Mpira nimeanza kuuangalia miaka ya 90
Nyie mmepata fursa baada ya kuletewa majumba ya kubeti