hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Arsenal Sasa hivi huwez kuiona nje ya top 3Graham Potter
Nuno Espírito Santo
Di Zerbi
Hao hata wangepewa arsenal wangefanya vizur wanakuwa kwenye timu ambazo hazina uhitaj mkubwa wa matokeo hata miaka 3 wakimaliza wa 8 safi tu ni makocha wakali wa timu za daraja la kati timu kubwa wanatimuliwa
Halafu Di zerbi anauwezo mkubwa Sana kuliko 7hag
Hivi ukiulizwa mpaka Sasa 7hag anacheza mfumo gan unaweza elezea
Ukiulizwa kwa £400m aliyopewa amefanya Nini Cha Maana ,Kama usajili unaonekana mbovu
Je 7hag ni chuma ulete