El Tiger
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 142
- 785
Jamaa kumbe Mhafidhina tu. Hajui hata Arteta kamkuta Pepe ana miezi mi3 tu na Hafahamu hata Saliba alikuwa St. Etienne na ni timu yake, afu anakwambia Arteta kamkuta Pepe asha-flop! SASA ARSENAL YENYEWE HAIJUI KUNA NIN TENA SASA HAPO UNATEGEMEA SIKIA MKALI!Talent ndio nn maana unaongea hiki kitu muda sana? Au kuna namna ss hatuangalii mpira sawa na ww
Hoja yake kubwa ni ETH hana TALENT ID, Ameulizwa Arteta katika Sajili 29 Mna Makombe mangapi zaidi ya 1 ambalo ETH ashalipa ndani ya Season 1 na kwa sajili 3 za First 11 na Moja ya Back Up anakazana kutusi hatoi majibu na kila swali anakwepa. Hajui kwamba hii ni Season ya 5 ya Arteta..