hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Ukweli tutausema ,7hag ni tapeliUnapoteza muda kumjibu huyu jamaa ?
Michango yake mingi inaendeshwa kwa hisia,,,, ana mihemuko ,,,,
Anaamini arteta ni bora kuliko kocha yeyote yule nje na ndani ya Europe,,,,
Anaamini arsenal ndo timu bora Duniani,,,na itashinda kila kombe,,, refer last season, kila kombe wakitolewa anajitetea tunaitaka EPL mwisho wa siku wameangukia pua,,,
Kingine ana husda na ETH , mbaya zaidi kwa Anthony sijui ni lile goal alilowafunga ,,,,
Wachezaji wengi wamenunuliwa more than 100 hawajadeliver vizuri kinyume na matarajio, refer coutihno, mudryk, big rom , n.k soon huyu rice anaweza akafeli,,, hilo linatokea pia
Arsenal Chini ya Mikel wamesajili more than 20 players, wana kombe moja, husikii akizungumzia mahali,,,,
Kama umejikita kwenye uchambuz usiwe biased, ama la enjoy football tulia Acha ngebe,,,,
Kuhusu Anthony nilisema na Sasa mnaona aibu kukiri
Mimi huwa nikisema nasimamia ukweli hata Kama nabaki mwenyewe
Mlimtetea Anthony masebene, Sancho, leo mnaona aibu mmebaki ohoo alifunga goli