Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena tafuteni kipa wa kueleweka.
Screenshot_20230829-141404_1.jpg
 
Ten Hag wants Marc Cucurella because him and his staff have fond memories of the player back in that famous Getafe vs Ajax tie in the 2020/21 season. [
@gerardromero
]
 
Asee so kila mtu mwenye mfungamano na Ajax ni favorite kwa Haag, kwanini asimfikirie Kudus Sasa
Sioni shida katika hili watu wanakuza sana vitu,kwani kocha akimpenda mchezaji wa timu pinzani iliyocheza na timu yake mbeleni akija kumtaka shida ipo wapi?

So siku akimtaka hata mchezaji wa Sevilla watalink connection na mechi dhidi yao?

Pia kashacheza dhidi ya timu za EPL so akiwataka wachezaji toka timu za Brentford,Brighton,Everton n.k zote zimecheza dhidi ya United so itakuwa ni connection?


Nafuu wangegusa wale aliowahi kuwafundisha ingeleta sense kiasi flani ila sasa kwa hili wanaonekana kama brainless,soka ni mzunguko sasa kila akimtaka mchezaji wanaforce kutafuta linking yao.
 
Target gan hazieleweki angalia taget za kocha
Nunez
Gapko
De jong
Tobido
Ambrabat

Alafu angalia baada ya kuwakosa inabidi atafute solution za muda mfupi zima moto kina wehghost
Apo kuna wachezaji tunanashindwa kuwa sajili sababu ya kuanza kubargain mfano n Nunez na hyo gapko
Hata sajili zilizofanikiwa utaona tunavyo pata shida kusajili yaan tunakaa wiki nne kupambania kusajili mchezaji mmja ila wakija vilabu vingine siku mbili au tatu wanabeba mchezaji angalia Liverpool, Manchester city, Chelsea na arsenal hatuwezi kubattle nao tukiwa tunataka mchezaji

Na kocha yupo serious hataki mchezaji ambaye haendani na mifumo yake ndio maana anatafuta zima moto kama kina sabitzer na wehghost
Screenshot_20230829-184200.jpg


Akichukua mwarabu
 
Hawa majeruhi shida ni nini mbona wanaongezeka tu halafu hakuna hata uharaka wa kupata hizo nafasi na dirisha linafungwa.
 
Hawa majeruhi shida ni nini mbona wanaongezeka tu halafu hakuna hata uharaka wa kupata hizo nafasi na dirisha linafungwa.
Kwa wengine sishangai ila kwa Varane huwa kila mechi naangalia huku nahofia jamaa kuumia,majeraha yake taarifa hizi hazijanishangaza

Unaambiwa tangu afike mechi 66 kacheza huku 34 kakosa kwa sababu ya majeraha
 
Back
Top Bottom